KAMISHNA WA OPERESHENI NA MAFUNZO YA JESHI LA POLISI, CP LIBERATUS SABAS, AFUNGA MAFUNZO YA ASKARI WA KIKOSI MAALUM CHA ULINZI MPAKA WA TANZANIA NA MSUMBIJI

  Masama Blog      
Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi, CP Liberatus Sabas akiongea na askari wanaohitimu mafunzo ya usimamizi wa Ulinzi katika Mpaka wa Tanzania na Msumbiji yaliofanyika katika pori la West Kilimanjaro mkoani Kilimanjaro.(Picha na Jeshi la Polisi).
Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la polisi, CP Liberatus Sabas akisalimiana na wakufunzi wa Askari wa Kikosi Maalum kinachotarajiwa kujiunga na vikosi vingine vya Ulinzi wa Amani Kimataifa kwaajili ya kusimamia amani katika nchi au mataifa yenye migogoro. (Picha na Jeshi la Polisi)
Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi, CP Liberatus Sabas akisalimiana na wakufunzi wa askari wa Kikosi Maalum kitakachosimamia Ulinzi wa Amani katika Mpaka wa Tanzania na Msumbiji huko mkoani Mtwara katika Mto Ruvuma ambapo kumekuwa kukitokea mauaji ya mara kwa mara kwa raia wema yaliosababishwa na wahalifu kutoka Nchini jirani ya Msumbiji. (Picha na Jeshi la Polisi)
Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi, CP Liberatus Sabas akimkabidhi cheti cha ukufunzi bora Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP William Mwampagale wakati akifunga mafunzo ya askari wa Ulinzi wa Amani Kimataifa Kilelepori mkoani Kilimanjaro.(Picha na Jeshi la Polisi)
Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi, CP Liberatus Sabas wa tatu kutoka kushoto kwa waliokaa akiwa katika picha ya pamoja Maafisa wa Jeshi la Polisi, wakufunzi wa ndani pamoja na wakufunzi wa umoja wa kimataifa baada ya kufunga mafunzo Kilelepori mkoani kilimanjaro. (Picha na Jeshi la Polisi)


from MICHUZI BLOG https://ift.tt/35LMxTb
via
logoblog

Thanks for reading KAMISHNA WA OPERESHENI NA MAFUNZO YA JESHI LA POLISI, CP LIBERATUS SABAS, AFUNGA MAFUNZO YA ASKARI WA KIKOSI MAALUM CHA ULINZI MPAKA WA TANZANIA NA MSUMBIJI

Previous
« Prev Post