ATHARI YA MVUA KWA BAADHI YA MAENEO YA MBAGALA JIJINI DAR

  Masama Blog      

 Kufuatia mvua inayoendelea kunyesha maeneo mengi yamekumbwa na changamoto ya kupitika sambamba na biashara kutofanyika kabisa.
 Mmoja wa Wanafunzi akiende shuleni
 Baadhi ya Wakazi wa Mbagala Rangi tatu jijini Dar es Salaam wakiwa katika kituo cha mabasi cha Mbagala wakisubiri usafiri,huku eneo hilo likiwa limejaa maji kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha leo  jijini Dar es Salaam na mikoa ya Pwani (Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
 from MICHUZI BLOG https://ift.tt/34wmZbc
via
logoblog

Thanks for reading ATHARI YA MVUA KWA BAADHI YA MAENEO YA MBAGALA JIJINI DAR

Previous
« Prev Post