WAZIRI MKUU AMWAKILISHA RAIS MAGUFULI KATIKA SHEREHE ZA MAULID MWANZA

  Masama Blog      
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongela, wakati akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza, kumwakilisha Rais Magufuli, katika sherehe za Maulid, zitazofanyika mkoani humo. Novemba 9, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasili, kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza, kumwakilisha Rais Magufuli, katika sherehe za Maulid, zitazofanyika mkoani hapo. Novemba 9, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2oZHo9Q
via
logoblog

Thanks for reading WAZIRI MKUU AMWAKILISHA RAIS MAGUFULI KATIKA SHEREHE ZA MAULID MWANZA

Previous
« Prev Post