SPIKA AFUNGUA MPANGO KAZI WA CHAMA CHA WABUNGE RAFIKI WA MAZINGIRA

  Masama Blog      
  Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akifungua Mpango Kazi wa Chama cha Wabunge Rafiki wa Mazingira (TAPAFE), katika mkutano uliofanyika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa chama hicho Mhe. Jitu Soni na Florentina Julius kutoka Jumuiko la Maliasili Tanzania.
Mwenyekiti wa Chama cha Wabunge Rafiki wa Mazingira (TAPAFE), Mhe. Jitu Soni akitoa maelezo ya utanguzili kuhusiana na Mpango Kazi wa chama hicho kwa Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai kabla ya kuuzindua rasmi mpango huo katika mkutano uliofanyika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma.
 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akifuatilia uwasilishwaji wa mada katika Mkutano wa Chama cha Wabunge Rafiki wa Mazingira (TAPAFE), katika mkutano uliofanyika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma. Pembeni yake ni Mwenyekiti wa chama hicho Mhe. Jitu Soni.PICHA NA OFISI YA BUNGEfrom MICHUZI BLOG https://ift.tt/32Khwg9
via
logoblog

Thanks for reading SPIKA AFUNGUA MPANGO KAZI WA CHAMA CHA WABUNGE RAFIKI WA MAZINGIRA

Previous
« Prev Post