RUSHWA NI ADUI WA HAKI,KATAA KIONGOZI ANAECHAGULIWA KWA RUSHWA

  Masama Blog      
Uchaguzi wa serikalizamitaa unaelekea ukingoni, Wananchi mtakutana na viashiria mbalimbali vya rushwa, mkatae kiongozi anaechaguliwa kwa rushwa, chagua kiongozi asiyependa rushwa, Kanyaga rushwa chagua maendeleo, hata  kipindi cha uchaguzi wa serikali za mitaa kataa rushwa tenda haki.


from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2DeKeLX
via
logoblog

Thanks for reading RUSHWA NI ADUI WA HAKI,KATAA KIONGOZI ANAECHAGULIWA KWA RUSHWA

Previous
« Prev Post