RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA SHELUI, IGUNGA NA NZEGA MKOANI TABORA

  Masama Blog      
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi waNzega mjini (hawaonekani pichani) Mkoani Tabora wakati akielekeaIsaka mkoani Shinyanga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi waIgunga mkoani Tabora wakati akielekea Nzega.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi waShelui mkoani Singida wakati akielekea Igunga mkoani Tabora.
Wananchi wa Shelui wakishangilia mara baada ya Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli kusimama katika eneo hilo. PICHA NA IKULU


from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2qSW4bI
via
logoblog

Thanks for reading RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA SHELUI, IGUNGA NA NZEGA MKOANI TABORA

Previous
« Prev Post