PSPTB YATOA MAFUNZO KWA WATAALAMU WA UNUNUZI WA ZANZIBAR

  Masama Blog      
 Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Ununuzi na Uondoaji wa Mali za Umma Zanzibar(ZPPDA) Othman Juma Othman akizungumza na wahitimu wa mafunzo yaliyokuwa yanaendeshwa na Bodi ya wataalamu wa ununuzi na ugavi nchini Tanzania(PSPTB) kwa siku 14 katika ukumbi wa TaGLA jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa fedha na utawala wa Bodi ya wataalamu wa ununuzi na ugavi nchini Tanzania(PSPTB) Paul Bilabaye na kushoto ni Mratibu wa Miradi Zanzibar(ISPGGIII) Khalifan Ali Said.
Mkurugenzi wa fedha na utawala wa Bodi ya wataalamu wa ununuzi na ugavi nchini Tanzania(PSPTB) Paul Bilabaye akisoma hotuba kwa niaba ya Kaimu Mkurugeniz wa Maendeleo  ya Taaluma ya Bodi hiyo wakati wa kufunga mafunzo yaliyokuwa yakiendeshwa na PSPTB kwa siku 14 katika ukumbi wa TaGLA jijini Dar es Salaam.Katikati ni  Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Ununuzi na Uondoaji wa Mali za Umma Zanzibar(ZPPDA) Othman Juma Othman  na kulia ni Mratibu wa Miradi Zanzibar(ISPGGIII) Khalifan Ali Said.
 Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Taaluma wa Bodi ya wataalamu wa ununuzi na ugavi nchini Tanzania(PSPTB), Amos Mang'ombe akitoa ufafanuzi kwa ufupi kwa mgeni rasmi Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Ununuzi na Uondoaji wa Mali za Umma Zanzibar(ZPPDA) Othman Juma Othman  kuhusu mafunzo yaliyokuwa yanatolewa kwa maofisa wa ununuzi wa Zanzibar yaliyofanyika  kwa siku 14 katika ukumbi wa TaGLA jijini Dar es Salaam.
 Afisa Mjenga uwezo na Hudua za Ushauri wa Mamlaka ya Ununuzi na Uondoaji wa Mali za Umma Zanzibar(ZPPDA) Haitham Said Hassan akizungumzia mafunzo yaliyokuwa yanatolewa na  Bodi ya wataalamu wa ununuzi na ugavi nchini Tanzania(PSPTB) kwa siku 14 katika ukumbi wa TaGLA jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wataalamu wa ununuzi kutoka Zanzibar wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Ununuzi na Uondoaji wa Mali za Umma Zanzibar(ZPPDA) Othman Juma Othman alipokuwa anafunga mafunzo kwa wataalam hao yaliyofanyika kwa siku 14 katika ukumbi wa TaGLA jijini Dar es Salaam.
Afisa Mwandamizi wa Masoko na Mahusiano ya Umma - PSPTB, Shamim Mdee(kushoto),  Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Manunuzi ( PSPTB) Sophia Kiyeyeu(katikati) na Afisa mkuu wa Teknolojia ya habari na mawasiliano wa Bodi ya wataalamu wa ununuzi na ugavi nchini Tanzania(PSPTB), Grace Msele(kulia) wakisikiliza hotuba ya mgeni rasmi Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Ununuzi na Uondoaji wa Mali za Umma Zanzibar(ZPPDA) Othman Juma Othman alipokuwa anafunga mafunzo kwa wataalam hao yaliyofanyika kwa siku 14 katika ukumbi wa TaGLA jijini Dar es Salaam.
Mgeni rasmi Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Ununuzi na Uondoaji wa Mali za Umma Zanzibar(ZPPDA) Othman Juma Othman akiwakabidhi vyeti baadhi ya wataalam wa Ununuzi kutoka Zanzibar wakati wa kufunga mafunzo hayo yaliyofanyika kwa siku 14 katika ukumbi wa TaGLA jijini Dar es Salaam.
Mgeni rasmi Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Ununuzi na Uondoaji wa Mali za Umma Zanzibar(ZPPDA) Othman Juma Othman akiwa kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa Bodi ya wataalamu wa ununuzi na ugavi nchini Tanzania(PSPTB) wakati wa kufunga mafunzo hayo yaliyofanyika kwa siku 14 katika ukumbi wa TaGLA jijini Dar es Salaam.
Picha ya pamoja 


from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2OD9YXq
via
logoblog

Thanks for reading PSPTB YATOA MAFUNZO KWA WATAALAMU WA UNUNUZI WA ZANZIBAR

Previous
« Prev Post