NAIBU WAZIRI SHONZA AZINDUA MCHEZO FAINALI YA KIMSESE CUP KONDOA

  Masama Blog      
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza akipiga penati kuashiria kuanza kwa mchezo wa Fainali ya Kamsese Cup 2019 kati ya timu ya Kikilo na Masange iliyofanyika jana Wilayani Kondoa.

Mashindano hayo yaliyomalizika kwa timu ya Kikilo kuibuka mshindi yalishirikisha timu 21 kutoka katika kila kata ya Jimbo la Kondoa Vijijini yaliandaliwa na kuratibiwa na mbunge wa jimbo hilo Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji ambaye pia ni Naibu Waziri wa Fedha na Mipango ambapo lengo kuu lilikuwa kuwaamasisha vijana kushiriki katika shughuli za maendeleo pamoja na uchaguzi wa Serikali za Mitaa.from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2QqiT0R
via
logoblog

Thanks for reading NAIBU WAZIRI SHONZA AZINDUA MCHEZO FAINALI YA KIMSESE CUP KONDOA

Previous
« Prev Post