KATIBU MKUU WA CCM APOKEA TAARIFA YA MAONI NA MAPENDEKEZO YA WANACHAMA WA TAWI LA CCM CHINA

  Masama Blog      
Katibu wa tawi la CCM China ndugu Yazid Iddi amekabidhi taarifa ya maoni na Mapendekezo mbalimbali kutoka kwa wanachama wa tawi la CCM China yatakayochakatwa na baadae kuingizwa katika Ilani ya Uchaguzi Mkuu wa CCM ya 2020-2025.

Katibu Mkuu wa CCM Taifa ndugu Dr. Bashiru Ally akipokea taarifa hiyo amepongeza Viongozi Na Wanachama wa tawi la CCM China kwa kuwa mabalozi wazuri katika kufanya mambo mema yenye tija ya kujenga taifa bora —Novemba 18,2019 —Dodoma,Tanzaniafrom MICHUZI BLOG https://ift.tt/2puGl1Y
via
logoblog

Thanks for reading KATIBU MKUU WA CCM APOKEA TAARIFA YA MAONI NA MAPENDEKEZO YA WANACHAMA WA TAWI LA CCM CHINA

Previous
« Prev Post