JAJI KIONGOZI AZUNGUMZA NA MAJAJI WA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA WALIOAPISHWA LEO

  Masama Blog      
Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Dkt. Eliezer Feleshi akizungumza na majaji wapya wa Mahakama Kuu ya Tanzania, walioapishwa leo ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Chuo cha Uongozi wa Mahakama (IJA)-Lushoto (wa pili kushoto) akifafanua jambo kwa majaji wapya wa Mahakama Kuu ya Tanzania walioapishwa leo.(Picha na Magreth Kinabo-Mahakama)


from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2PL0NXa
via
logoblog

Thanks for reading JAJI KIONGOZI AZUNGUMZA NA MAJAJI WA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA WALIOAPISHWA LEO

Previous
« Prev Post