DKT.BASHIRU KATIKA ZIARA YAKE VISIWANI ZANZIBAR

  Masama Blog      
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Dkt.Bashiru Ally Kakurwa, akizungumza na Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Mjini katika mwendelezo wa ziara yake ya kuimarisha CCM Unguja.
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Mjini Ndugu Talib Ali Talib akimkaribisha Katibu Mkuu wa CCM Dkt.Bashiru Ally katika Mkoa wa Mjini kichama.
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Dkt.Bashiru Ally Kakurwa,akizungumza na kutoa salamu za Chama Cha Mapinduzi kwa Vijana na Wanachama mbali mbali walioshiriki katika mapokezi yake katika Mkoa wa Mjini kichama.
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Dkt.Bashiru Ally Kakurwa,akivishwa Skafu na Vijana Maalum wa UVCCM baada ya kuwasili katika Ofisi ya CCM Jimbo la Jang’ombe Matarumbeta Unguja.from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2OwNys1
via
logoblog

Thanks for reading DKT.BASHIRU KATIKA ZIARA YAKE VISIWANI ZANZIBAR

Previous
« Prev Post