BREAKING NYUZZZZ....: Bibi aliyemuua mjuu wake kwa kipigo ahakumiwa kunyongwa hadi kufa

  Masama Blog      
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imemuhukumu kunyongwa hadi kufa mwanamke Esther Lyimo (47) baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mjukuu wake kwa kipigo.

Hukumu hiyo imesomwa leo Novemba 8,2019 na Naibu  Msajili wa Mahakama Kuu, Pamela Mazengo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu iliyopewa mamlaka ya kusikiliza kesi za mauaji.

taarifa kamili itakufikia hapa hapa hivi punde.


from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2X0U1hx
via
logoblog

Thanks for reading BREAKING NYUZZZZ....: Bibi aliyemuua mjuu wake kwa kipigo ahakumiwa kunyongwa hadi kufa

Previous
« Prev Post