Ticker

10/recent/ticker-posts

BREAKING NEWZZZZZZ: RAIS WA SIMBA AVEVA NA MAKAMU WAKE KABURU WAACHIWA HURU KWA DHAMANA

ALIYEKUWA  rais wa klabu ya Simba Evans Aveva na makamu wake, Godfrey Nyange maarufu kama Kaburu, wameachiwa huru kwa dhamana na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kufuatia kutupilia mbali mapingamizi yaliyowasilishwa na upande wa serikali kupinga 
Wasipate dhamana.


from MICHUZI BLOG https://ift.tt/34zSnWT
via

Post a Comment

0 Comments