DOWNLOAD APP YETU HAPA

Waziri Mkuu Majaliwa, aweka jiwe la msingi, katika kituo cha kupozea umeme 400/220/33kV, Shinyanga, Singida Dodomana Iringa awamu ya pili

  Masama Blog      
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiweka jiwe la msingi, katika kituo cha kupozea umeme 400/220/33kV, Shinyanga, Singida Dodoma na Iringa awamu ya pili, eneo Misuna, katika Wilaya ya Singida Oktoba 5.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimsikiliza Meneja Mradi wa kituo cha kupozea umeme 400/220/33kV, Shinyanga, Singida Dodoma na Iringa awamu ya pili, Peter Kigadye, kabla ya kuweka jiwe la msingi la mradi huo, eneo Misuna, katika Wilaya ya Singida Oktoba 5.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).


from MICHUZI BLOG https://ift.tt/31Q2Zj8
via
logoblog

Thanks for reading Waziri Mkuu Majaliwa, aweka jiwe la msingi, katika kituo cha kupozea umeme 400/220/33kV, Shinyanga, Singida Dodomana Iringa awamu ya pili

Previous
« Prev Post