DOWNLOAD APP YETU HAPA

TMDA ITAHAKIKISHA DAWA NA VIFAA TIBA VINAVYOPITA MPAKANI NI SALAMA NA VYENYE UBORA-WAZIRI UMMY

  Masama Blog      

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,Mh.Ummy Mwalimu ameeleza jana mbele ya Rais Dkt John Pombe Magufuli na Wananchi kwa ujumla kuwa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) itahakikisha Dawa na Vifaa Tiba vinavyopitia mpaka wa Tunduma,Tanzania na Nakonde,Zambia ni salama,fanisi na vyenye ubora unaotakiwa.


from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2IqRHKM
via
logoblog

Thanks for reading TMDA ITAHAKIKISHA DAWA NA VIFAA TIBA VINAVYOPITA MPAKANI NI SALAMA NA VYENYE UBORA-WAZIRI UMMY

Previous
« Prev Post