DOWNLOAD APP YETU HAPA

RAIS MAGUFULI AZINDUA SAFARI ZA SHIRIKA LA NDEGE TANZANIA (ATCL) ZA DAR ES SALAAM- MPANDA

  Masama Blog      
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli anafanya ziara ya siku tatu Mkoani Katavi  ambapo anafungua na kukagua miradi ya Maendeleo pamoja na kuzungumza na Wananchi wa Maeneo mbalimbali ya Katavi na Wilaya zake


from CCM Blog https://ift.tt/35v8bv2
via
logoblog

Thanks for reading RAIS MAGUFULI AZINDUA SAFARI ZA SHIRIKA LA NDEGE TANZANIA (ATCL) ZA DAR ES SALAAM- MPANDA

Previous
« Prev Post