DOWNLOAD APP YETU HAPA

RAIS DKT. MAGUFULI AWASILI MKOANI SONGWE

  Masama Blog      
 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia kikundi cha ngoma za asili mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Songwe mkoani Mbeya wakati akielekea mkoani Songwe kwa ajili ya ziara ya kikazi.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa mkoa wa Songwe Brigedia Jenerali Nicodemas Mwangela mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Songwe mkoani Mbeya kabla ya kuelekea  mkoani Songwe kwa ajili ya ziara ya kikazi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Songwe mkoani Mbeya kabla ya kuelekea  mkoani Songwe kwa ajili ya ziara ya kikazi.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe David Kafulila mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Songwe mkoani Mbeya kabla ya kuelekea  mkoani Songwe kwa ajili ya ziara ya kikazi.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wanahabari wa mkoa wa Mbeya na Songwe mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Songwe mkoani Mbeya kabla ya kuelekea  mkoani Songwe kwa ajili ya ziara ya kikazi.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Iyala Mbozi  mkoani Songwe wakati akielekea Mbozi mjini.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Ruanda mkoani  Mbozi. PICHA NA IKULU


from MICHUZI BLOG https://ift.tt/335tYYa
via
logoblog

Thanks for reading RAIS DKT. MAGUFULI AWASILI MKOANI SONGWE

Previous
« Prev Post