MNUSO WA JUMUIYA YA WATANZANIA JIJINI NEW YORK KUMUAGA BALOZI MERO

  Masama Blog      

Mwenyekiti wa NYCT, Bwana Seif Akida akimkabidhi zawadi ya kumbukumbu Mh. Balozi Mero, Balozi Mero anaestahafu baada ya kufanya kazi kwenye majengo ya Umoja wa Mataifa New York kama mwakilishi wa kudumu. Community ya Watanzania New York inathamini sana mchango wake wa kujitoa kwa hali na mali kila alivyopata nafasi ya kuudhulia sehemu mbalimbali ndani ya community. Community ya Watanzania New York itamkosa sana na inamtakia maisha mema na afya njema huko nyumbani Tanzania.


Mwenyekiti wa NYCT Bwana Akida akimkaribisha Mh. Balozi.

Mh. Balozi Mero akiongea mbele ya Watanzania waliojitokeza kuja kumuuga.
Mh. Mero kipata ukodak na viongozi walioteuliwa kujaza nafasi ambazo zilikuwa wazi.

Zawadi kutoka New York Tanzania Community kwa Mh. Balozi. Balozi Mero ulikuwa mtu wawatu na chapa kazi, kwa picha zaidi nenda chini.


Mama Balozi akiwaaga wanacommunity.from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2p9sfmH
via
logoblog

Thanks for reading MNUSO WA JUMUIYA YA WATANZANIA JIJINI NEW YORK KUMUAGA BALOZI MERO

Previous
« Prev Post