MAKAMU WA RAIS SAMIA AFUNGUA SEMINA YA WABUNGE WANAWAKE AFRIKA

  Masama Blog      

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua Semina ya Siku nne kwa Wabunge Wanawake wa Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika kuhusu  Juu ya kuhamasisha Wajumbe Wanawake katika masuala mbalimbali ya kuboresha Ushirikiano wa Wanawake katika Michakato ya kuongeza Idadi  yao kwenye Vyombo vya Maamuzi  hususan Bungeni, Jumla ya wajumbe kutoka Nchi 18 za Jumuiya ya Madola kanda ya Afrika wanashiriki kwenye Semina hiyo iliyofunguliwa  leo 27 Octoba 2019 katika Ukumbi wa  Gran Malia Jijini Arusha.  

 
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wajumbe wa  Semina ya Siku nne kwa Wabunge Wanawake wa Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika kuhusu  Juu ya kuhamasisha Wajumbe Wanawake katika masuala mbalimbali ya kuboresha Ushirikiano wa Wanawake katika Michakato ya kuongeza Idadi  yao kwenye Vyombo vya Maamuzi  hususan Bungeni, baada ya kufungua Semina hiyo Jumla ya wajumbe kutoka Nchi 18 za Jumuiya ya Madola kanda ya Afrika wanashiriki kwenye Semina hiyo iliyofunguliwa  leo 27 Octoba 2019 katika Ukumbi wa  Grand Malya Jijini Arusha.  (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2WnJ5u3
via
logoblog

Thanks for reading MAKAMU WA RAIS SAMIA AFUNGUA SEMINA YA WABUNGE WANAWAKE AFRIKA

Previous
« Prev Post