DOWNLOAD APP YETU HAPA

MAJALIWA AZAWADIWA KITI CHA WAZEE KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAZEE DUNIANI - MJINI MTWARA

  Masama Blog      
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikabidhiwa zawadi ya kiti cha wazee na Mwenyekiti wa Mtandao wa Wazee Tanzania, Abdallah Majumba  (kushoto) baada ya kuhutubia katika Maadhiisho ya Siku ya Wazee Duniani yaliyofanyika kitaifa kwenye Uwanja wa Nangwada Sijaona mjini Mtwara, Oktoba 1, 2019. Katikati ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa amekalia kiti cha wazee alichozawadiwa na Mwenyekiti wa Mtandao wa Wazee Tanzania, Abdallah Majumba (kushoto) baada ya kuhutubia katika Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani yaliyofanyika kitaifa kwenye uwanja wa Nangwada Sijaona mjini Mtwara, Oktoba 1, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2oXEJNG
via
logoblog

Thanks for reading MAJALIWA AZAWADIWA KITI CHA WAZEE KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAZEE DUNIANI - MJINI MTWARA

Previous
« Prev Post