MAFURIKO YAKATA MAWASILIANO YA BARABARA, MAMIA YA WASAFIRI WAKWAMA ENEO LA MANDELA MKOANI TANGA

  Masama Blog      
Wasafiri kutoka Dar es Salaam na mikoa mingine wamekwama katika eneo la Mandela kutokana na kukatika kwa mawasiliano ya barabara katikati ya wilaya ya Handeni na Korogwe, Mkoani Tanga baada ya kufurika kwa mto Mandera kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali hapa nchini.  Hii ni mara ya pili sasa kukatika kwa mawasiliano katika eneo hilo.


from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2MQ9ei1
via
logoblog

Thanks for reading MAFURIKO YAKATA MAWASILIANO YA BARABARA, MAMIA YA WASAFIRI WAKWAMA ENEO LA MANDELA MKOANI TANGA

Previous
« Prev Post