KUMEKUCHA MKUTANO WA SADC WA MAZINGIRA MALIASILI NA UTALII JIJINI ARUSHA

  Masama Blog      
Mkutano wa SADC ambao unaendelea umebeba madhumuni ya kuangalia mwenendo mzima wa hali ya mazingira na mabadiliko ya Tabianchi ikiwa ni pamoja na kubainisha utekelezaji wa mikakati ya hifadhi ya usimamizi wa mazingira

Mkutano huo leo utaingia hatua ya pili ya makatibu wakuu baada ya wataalamu kumaliza ngwe yao jana na utafunguliwa na Waziri mwenye dhamana ya utalii Dkt.Khamis Kigwangalah kwenye Kituo cha mikutano ya Kimataifa AICC  jijini hapa


from MICHUZI BLOG https://ift.tt/33RmoBc
via
logoblog

Thanks for reading KUMEKUCHA MKUTANO WA SADC WA MAZINGIRA MALIASILI NA UTALII JIJINI ARUSHA

Previous
« Prev Post