KATIBU NA MWENEZI CHADEMA LONGIDO WATIMKIA CCM.

  Masama Blog      

Katibu wa CCM wilaya ya Londigo Ezekiel Mollel akionyesha kadi alizozipokea jana kutoka kwa wanachama wa Chadema
 Katibu wa Chama cha mapinduzi (CCM) wilaya ya Longido Ezekiel Mollel jana amewapokea wanachama wa Chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA),akiwepo katibu wa Chama hicho wilaya Mch Isaya Nguchika na mwenezi wake Emmanuel Rekali(Habari picha na Pamela Mollel)from MICHUZI BLOG https://ift.tt/330n4UD
via
logoblog

Thanks for reading KATIBU NA MWENEZI CHADEMA LONGIDO WATIMKIA CCM.

Previous
« Prev Post