DOWNLOAD APP YETU HAPA

IGP SIRRO AFANYA ZIARA KATIKA KITUO CHA POLISI CHA RUANGWA MKOANI LINDI

  Masama Blog      
 Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, akipokea salamu kutoka kwa CPL Zurith baada ya kuwasili katika kituo cha Polisi cha Ruangwa alipopitia akiwa katika ziara ya Mh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Joseph Magufuli. 
 Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa, Wakaguzi na Askari wa Kituo cha Polisi cha Ruangwa kilichopo mkoani Lindi.( PICHA NA JESHI LA POLISI)
Maafisa na wakaguzi wakimpokea Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro baada ya kuwasili katika kituo cha Polisi cha Ruangwa kilichopo wilayani Ruangwa mkoani Lindi kwaajili ya kusikiliza changamoto za askari wa kituo hicho. (PICHA NA JESHI LA POLISI)from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2VGi196
via
logoblog

Thanks for reading IGP SIRRO AFANYA ZIARA KATIKA KITUO CHA POLISI CHA RUANGWA MKOANI LINDI

Previous
« Prev Post