CHANGAMKIA SHAMBA MURWA LINALOFAA KWA PARACHICHI LINAUZWA KWA BEI CHEE NJOMBE

  Masama Blog      

Wadau mnaopenda Kilimo Biashara cha Parachichi, karibu mnunue shamba linalofaa kwa zao hilo lililopo katika Kijiji cha Luvuyo, mpakani mwa wilaya ya Njombe na Ludewa mkoani Njombe.
Shamba hilo lililopo katika safu za Mlima Livingstone, udongo wake umepimwa pia lipo kwenye mwinuko kutoka usawa wa bahari (Altutude) Mita  1400 hali ya hewa inayofaa kwa Parachichi pamoja na mazao mengine kama vile Apple, Peas, Passion, njegere na karanga pori.Shamba lina ukubwa wa hekari 60 na kila hekari huuzwa sh. 300,000.
Karibuni sana.
Mawasiliano;Rich;0754264203,0715264202,0689425467
from CCM Blog https://ift.tt/2nNm72H
via
logoblog

Thanks for reading CHANGAMKIA SHAMBA MURWA LINALOFAA KWA PARACHICHI LINAUZWA KWA BEI CHEE NJOMBE

Previous
« Prev Post