SPIKA NDUGAI ATEMBELEA KAMATI YA SIASA MKOA WA KUSINI UNGUJA, AZUNGUMZA NA WAZIRI HAMAD RASHID MJINI ZANZIBAR

  Masama Blog      
 Spika wa Bunge na Mlezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mikoa ya Kusini na Kaskazini Unguja, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akipokelewa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kusini Unguja, Ndg. Ramadham Abdala Ali wakati alipowasili katika Ofisi za Mkoa huo leo Mjini Zanzibar.
 Spika wa Bunge na Mlezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mikoa ya Kusini na Kaskazini Unguja, Mhe. Job Ndugai akizungumza na viongozi wa kamati ya siasa ya Mkoa wa kusini Unguja wakati alipowatembelea kwa ajili ya kuwasalimia viongozi hao katika Ofisi za Mkoa huo leo Mjini Zanzibar.
 Spika wa Bunge na Mlezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mikoa ya Kusini na Kaskazini Unguja, Mhe. Job Ndugai akizungumza na viongozi wa kamati ya siasa ya Mkoa wa kusini Unguja wakati alipowatembelea kwa ajili ya kuwasalimia viongozi hao katika Ofisi za Mkoa huo leo Mjini Zanzibar.
 Spika wa Bunge na Mlezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mikoa ya Kusini na Kaskazini Unguja, Mhe. Job Ndugai (wa tatu kulia waliokaa) katika picha ya pamoja na viongozi wa kamati ya siasa ya Mkoa wa kusini Unguja walioongozwa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kusini Unguja, Ndg. Ramadham Abdala Ali (wa tatu kushoto waliokaa ) baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo katika Ofisi za Mkoa huo Mjini Zanzibar.
 Spika wa Bunge na Mlezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mikoa ya Kusini na Kaskazini Unguja, Mhe. Job Ndugai (kulia) akiagana na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kusini Unguja, Ndg. Ramadhan Abdala Ali baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo katika Ofisi za Mkoa huo Mjini Zanzibar. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja, Ndg. Hassan Khatibu Hassani
 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizunguma na Waziri wa Afya wa Zanzibar, Mhe. Hamad Rashid Mohamed walipokutana leo katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Abeid Amani Karume Mjini Zanzibar.

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza Naibu Waziri wa Elimu na Amali, Mhe. Simai Mohamed Said walipokutana leo katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Abeid Amani Karume Mjini Zanzibar. Katikati ni Waziri wa Afya wa Zanzibar, Mhe. Hamad Rashid Mohamed

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akiagana na Waziri wa Afya wa Zanzibar, Mhe. Hamad Rashid Mohamed walipokutana leo katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Abeid Amani, Unguja. PICHA NA OFISI ZA BUNGEfrom MICHUZI BLOG https://ift.tt/2ZQTi6g
via
logoblog

Thanks for reading SPIKA NDUGAI ATEMBELEA KAMATI YA SIASA MKOA WA KUSINI UNGUJA, AZUNGUMZA NA WAZIRI HAMAD RASHID MJINI ZANZIBAR

Previous
« Prev Post