MAWASILIANO NA TAARIFA FUPI KUHUSU BLOG HII (CCM Blog)

  Masama Blog      
Blog hii ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni mahsusi kwa ajili ya kukutanisha kwa urahisi maoni na msimamo wa viongozi, wananchi na wanachama wa CCM popote walipo kupitia njia mtandao. Blog hii ilianzishwa na Idara ya Itikadi na Uenezi mwaka 2012 na kuzinduliwa rasmi May 14, 2012 na aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kwa wakati huo, Dk. Jakaya Kikwete, katika sherehe iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ofisi za Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, . Kwa Maoni, ushauri au Matangazo kwenye Blog hii au usaidizi wowote kuhusu CCM, wasiliana na Mwanzilishi na Admin Mkuu wa Blog hii, Bashir Nkoromo (Pichani) kwa namba 0712 498008/ 0789 498008 au kwa Emali. ccmuenezi@gmail.com au nkoromo@gmail.com.

from CCM Blog https://ift.tt/2ZQMHVG
via
logoblog

Thanks for reading MAWASILIANO NA TAARIFA FUPI KUHUSU BLOG HII (CCM Blog)

Previous
« Prev Post