DOWNLOAD APP YETU HAPA

MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU BUNGENI JIJINI DODOMA

  Masama Blog      
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Mbunge wa Tarime Mjini, Ester Matiko, Bungeni jijini Dodoma, Septemba 9, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Adelardus Kilangi, Bungeni jijini Dodoma, Septemba 9, 2019.
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mbunge wa Kibiti, Ally Ungando, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Septemba 9, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).


from MICHUZI BLOG https://ift.tt/34xODGc
via
logoblog

Thanks for reading MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU BUNGENI JIJINI DODOMA

Previous
« Prev Post