DOWNLOAD APP YETU HAPA

RAIS MSTAAFU BENJAMINI MKAPA KUELEZA UZOEFU WAKE SADC KESHO

  Masama Blog      
Mwenyekiti  mstaafu wa SADC na Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu wa Tanzania, Benjamin Mkapa, atatoa mhadhara kwa umma kesho kuhusu uzoefu wake katika jumuiya hiyo.

Mhadhara huo utakaowashirikisha wasomi, wachambuzi wa masuala ya kikanda, wanasiasa, wachumi, wafanyabiashara na wananchi wa kawaida, utafanyika katika jengo jipya la maktaba la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM).
Advertisement


from CCM Blog https://ift.tt/2H7Pq6B
via
logoblog

Thanks for reading RAIS MSTAAFU BENJAMINI MKAPA KUELEZA UZOEFU WAKE SADC KESHO

Previous
« Prev Post