HIVI NDIVYO VYAKULA 1O VYA ASILI KABISA VINAVYO ONGEZA NGUVU ZA KIUME PAMOJA NA KUONGEZA SAIZI YA UUME

  Eliafie Elifura      
Jamani kila mwanaume au kila mkaka hutamani kwa kiasi kikubwa sana kumridhisha msichanana wake lakini kwa wakati mwingine mambo huwa hayaendi sawa kama vile mkaka anavyotarajia na wakati mwingine hata kutumia madawa ya kuongeza nguvu za kiume ambayo huwa ni hatari sana kwa mtumiaji kwani baada ya muda huwa na madhara makubwa sana.
 
Basi nimekuwekea hapo chini matunda na mboga za asilik kabisa zitakazo kusaidia tatizo lako la nguvu za kiume kwa kiasi kikubwa.
 
ANGALIZO::JIZOESHE KULA MATUNDA NA MBOGA NILIZOZITAJA HAPO JUU UTAONA MATOKEO YAKE KULA KAMA SEHEMU YAKO YA MAISHA USISUBIRI MPAKA UAMBIWE NA DAKTARI HAKIKA UTAONA MATOKEO MAZURI SANA ASANTENI NA SIKU NJEMA!
 
1O.NYAMA YA NGURUWE:: Nyama ya nguruwe ina vitamini B1 ambayo inasaidia kwa kiasi kikubwa sana kutanuka kwa mishipa ya neva.Mifumo ya neva ni muhimu sana katika kuongeza na kukupa nguvu za kiume nyingi zaidi.
 
9. PILIPILI:: Pilipili ni muhimu sana katika swala lakufanya mapenzi na bahati nzuri ni rahisi kuipata.Hii ni kwa sababu pilipili husaidia kusukumwa kwa damu kwa wingi na haraka katika mishipa ya damu na hasa katika sehemu muhimu sana kama uume na hii kusaidia kusimama kwa nguvu nyingi zaidi.
 
8. KAHAWA:: Kutumia kahawa kupita kiasi kunaweza kusiwe kuzuri kwa afya yako.Lakini hatukatai kwamba kafeini iliyomo kwenye kahawa inaweza kukupa nguvu nyingi sana za kuweza kuchelewa kufika kileleni mapema.Tumia kinywaki hiki kwa busara kwani kinaweza kikawa kina faida na hasara kwa upande mwingine pia.
 
7. CHOCOLATE:: Ukiipata aina hii ya chocolate inayotoka katika zao la kakao,lakini inatakiwa iwe haijaongezwa sukari ndipo utaona matokeo mazuri tumia hiyo kabla ya kufanya mapenzi,utafurahi kwa kupata matokeo mazuri.
 
6. ZABIBU:: Kemikali ya anthocyanins iliyomo kwenye zabibu husaidia kwa kiasi kikubwa sana kuisafisha mishipa ya ateli na hivyo kufanya mazunguko wa damu kuwa mzuri hasa katika sehemu za uume wako.Hii ni kwasababu mishipa ya damu inakuwa imefunguka na damu kutiririka vizuri katika maeneo hayo.
 
5.SHAYIRI::Mara nyingi mazao kama haya huwa hayapatikanai sana katika nchi za kiafrika.Hili ni zao ambalo lilikuwa linatumika kwa kiasi kikubwa sana katika kutengeneza ngano inayotumika kutengeneza mikate.Inatumika kwa kiasi kikubwa sana kuondoa mafuta ya tumboni na hatimaye kuifanya damu izunguke vizuri mwilini.
 
4. NDIZI:: Ndizi husaidia kwa kiasi kikubwa sana kuongeza madini aina ya potasiamu ambayo husaidia kuuuweka moyo katika hali nzuri na hii hupelekea mzunguko wa moyo kuwa mzuri zaidi na kama damu ikiwa inazunguka vizuri hii husaidia kwa kiasi kikubwa sana kusimama kwa uume vizuri na imara.
 
3. ZABIBU::Zabibu nyekundu huwa inafanya kazi kwa kiasi kikubwa kama madawa ya kuongeza nguvu za kiume huwa inafapanua mishipa ya damu ya uume na hivyo kufanya mizunguko ya damu kuwa mizuri sana.
 
2. MATIKITIMAJI:: Matikiti maji yana kiwango kikubwa sana cha kuongeza mishipa yako ya damu na hii kuifanya damu pia iweze kutiririka kwa uzuri sana na hii hufanya uume kusimama kwa uzuri zaidi.
 

1. VITUNGUU SAUMU ::Licha ya kwamba vitunguu saumu saumu hufanya mdomo wako unuke vibaya,lakini ni kiungo kizuri sana kwa kuongeza nguvu za kiume.Kiungo hiki ndicho kinachokupatia kemikali ya uume inayoitwa testesteroni ambayo ndiyo mdingi wa kusimama kwa uume wako.
logoblog

Thanks for reading HIVI NDIVYO VYAKULA 1O VYA ASILI KABISA VINAVYO ONGEZA NGUVU ZA KIUME PAMOJA NA KUONGEZA SAIZI YA UUME

Previous
« Prev Post