MASAMA ENGLISH MEDIUM SCHOOL:NI MOJA YA SHULE BORA ZA KIINGEREZA KITAIFA KWA SASA..IJUE ZAIDI HAPA

  Eliafie Elifura      
Image may contain: 2 people, outdoorHii ni Shule ya awali na Msingi ya Masama English Medium School Inayomilikiwa na KKKT DK-Usharika wa Masama Kati kwa sasa  Mch.Pray Aminiel Usiri ndiye mchungaji kiongozi katika usharika na Shule hiyo iliyopo kijiji cha Mbweera kata ya Masama Mashariki wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro..Ni moja ya Shule Bora kabisa za mchepuo wa kiingereza kwa sasa Nchini Tanzania ambayo kwa mwaka 2015 ufaulu wa Shule ya Msingi yaani Darasa la Saba  kwa wilaya ya Hai ilikuwa katika 10 bora,Kimkoa kwa Kilimanjaro ilikuwa katia 20 bora na Kitaifa ilikuwa katika nafasi ya 400 bora..Mwaka jana wa 2016 ufaulu wa Shule ya Msingi yaani Darasa la Saba  kwa wilaya ya Hai ilikuwa katika 10 bora,Kimkoa kwa Kilimanjaro ilikuwa katia 20 bora na Kitaifa ilikuwa katika nafasi ya 300 bora hii ni kwa ufaulu kati ya shule zote za msingi Tanzania zaidi ya 9,000..Shule hii inapokea wanafunzi toka sehemu mbalimbali za nchi ikiwa ni pamoja na watoto  wa Imani mbalimbali bila kubagua dini wala madhehebu ya Watanzania..
KARIBUNI MASAMA ENGLISH MEDIUM SCHOOL.
logoblog

Thanks for reading MASAMA ENGLISH MEDIUM SCHOOL:NI MOJA YA SHULE BORA ZA KIINGEREZA KITAIFA KWA SASA..IJUE ZAIDI HAPA

Previous
« Prev Post