HIZI NDIZO SEHEMU NYETI ZINAZOMPA RAHA MWANAMKE KUNAKO

  Eliafie Elifura      

Tendo la ndoa au ngono ndilo
tendo la furaha lililo kuu kwa
binadamu. Wakati tendo hilo
kwa wanyama lipo kwa ajili ya
kuzaa,kwa upande wa
binadamu ni zaidi ya
kuzaa.Mapenzi au tendo la
ndoa ni sanaa hivyo inatakiwa
ufundi na ubunifu ili kuweza
kufurahia tendo hili.
.
Yafuatayo ni maeneo 12 yenye
msisimko na kama mwanaume
utayashughulikia ipasavyo bila
shaka mtafurahia uumbaji
wake Mungu.
1. MIDOMO YAKE.
Tumia midomo yako,ulimi
wako na meno yako kuchezea
mdomo wake wa juu na wa
chini na umbusu kwa
msisimko mkubwa. Kunyonya
ulimi pia huchangia kuongeza
kasi ya mwanamke kwenda
kileleni.(usafi wa kinywa kwa
wote wawili ni muhimu).
2. UKE NA KINEMBE.
Tumia kidole chako cha
kwanza cha mkono wa kulia
polepole pitisha katika mfereji
wa uke ukianzia chini (kutokea
kwenye matako) ukipandisha
juu, fanya hivyo mara kadhaa.
Kutegemea umbo lako na
urefu, unaweza kuchanganya
zoezi hili na kunyonya matiti
yake na hapo utaona upumuaji
wake ukibadilika na majimaji
yakiongezeka kwenye uke.
Kwa kawaida kinembe cha
mwanamke kimejificha lakini
ukifanya vizuri zoezi la hapo
juu na chenyewe kama uume
kitajaa damu na kuinuka.
Kinembe kipo juu kabisa ya
mfereji wa uke na kina
ukubwa wa harage au kwa
wanawake wengine huwa
kidogo zaidi. Tumia kidole
chako cha kwanza na taratibu
zungusha zungusha kidole juu
ya kinembe, pandisha na
kushusha kidole chako na
hapo unaweza kumfikisha
kwenye kilele cha utamu wa
mapenzi hata kabla ya
hujaiingiza uume.
Wanawake wengi watafurahia
ukitumia uume wako
uliosimama vizuri kupigapiga
eneo la kinembe na hii
huufanya uume kuwa wa moto
na unapomwingilia joto la
uume wako litafanya raha ya
tendo hili kuwa kubwa zaidi.
Kinembe ndio sehemu ambayo
kwa asilima 80 huhusika na
kazi ya kumfikisha mwanamke
kileleni na kwa kuwa kinembe
kiko mbali kidogo toka kwenye
tundu la uke, sio rahisi kwa
uume kukifikia kinembe, hivyo
mwanaume anatakiwa
ajisukume kwa makusudi
kabisa kwenda mbele ili shina
la uumelisugue kinembe
wakati wa kuingia na kutoka
kwa uume.
3. MATITI YAKE.
Matiti yake ni sehemu muhimu
sana kwa mwanamke kama
ilivyo kwa uke wake.
Utampatia raha kamili
mwanamke kama utayapapasa
papasa matiti yake
utayaminyaminya kwa upole
wa kimahaba,
utayalambalamba na
kuyanyonya.
4. MASIKIO YAKE.
Wanawake wengi hupata
burudani masikio yao
yanapolambwa au kunyonywa
au kupigwa busu.
5. SEHEMU YA NYUMA YA
SHINGO
Tumia ulimi wako kulamba
sehemu ya shingo yake kwa
mwendo wa kutekenya
tekenya.Tumia ncha ya ulimi
kutekenya tekenya kwa
kufanya mduara na kuendelea
kuchora mduara na
kurudiarudia.
6. SEHEMU YA NYUMA YA
GOTI.
Sehemu ya nyuma ya goti ina
miishio mingi ya mishipa ya
fahamu na utashangaa jinsi
ambavyo mwanamke atapata
burudani kwa kuishughulikia
vyema sehemu hii.
7. SEHEMU YA NDANI YA
MAPAJA.
Tumia ubapa wa kiganja chake
kupapasa kwa ulaini sehemu
ya ndani ya mapaja yake,
fanya hivyo juu juu huku
ukimbusu busu mapaja yake.


logoblog

Thanks for reading HIZI NDIZO SEHEMU NYETI ZINAZOMPA RAHA MWANAMKE KUNAKO

Previous
« Prev Post