HUYU NDIYE MWANAFUNZI BORA UDSM.. NILIMPA MOTISHA YAKE 2011 NA SASA KAWA BORA ZAIDI..MEYA JERRY SILAA

  Eliafie Elifura      


 Doreen Kabuche akiwa na Meya wa manispaa ya Ilala Mhe.Jerry Sila jijini Dar es Salaam Leo alipoenda kupongezwa kwa kuwa mwanafunzi bora aliyehitimu Chuo kikuu  cha Dar es Salaam mwaka huu..

Namnukuu Jerry Silaa......''
........''Mwaka 2011 Doreen Kabuche alimaliza Kidato cha sita Benjamin Mkapa na kuwa best female student . Tulimwita na nikamzawadia laptop ya 1,500,000
Mwaka huu amekuwa best student udsm kwa kupata GPA 4.8 kwenye shahada adimu Ya takwimu bima. Nataka tumsomeshe Masters ili kupata wataalam wataoangalia mifuko yetu ya pension
Tuache kulalamikia utendaji mbovu wakati hatusomeshi wataalam....''


Masama  Blog tunasema Asante sana Jerry Silaa kwa kuwapa motisha vijana wa kitanzania ambao ndio nguzo ya Taifa,,,,
 
logoblog

Thanks for reading HUYU NDIYE MWANAFUNZI BORA UDSM.. NILIMPA MOTISHA YAKE 2011 NA SASA KAWA BORA ZAIDI..MEYA JERRY SILAA

Previous
« Prev Post