Ticker

10/recent/ticker-posts

RAIS DK. JOHN MAGUFULI AMWAGA TABASAMU NA RAIS MPYA WA AFRIKA KUSINI RAMAPHOSA JIJINI PRETORIA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Afrika Kusini Mhe Cyril Ramaphosa katika uwanja wa michezo wa Loftus Versfeld jijini Pretoria kwenye sherehe za kupishwa kwa Rais huyo wa Afrika ya Kusini Jumamosi Mei 25, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais wa Namibia Mhe Hage Gottfried Geingob na mkewe Mama Monica  Geingos katika uwanja wa michezo wa Loftus Versfeld jijini Pretoria kwenye sherehe za kupishwa kwa Rais wa Afrika ya Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa leo Jumamosi Mei 25, 2019

from CCM Blog http://bit.ly/2YVG04H
via

Post a Comment

0 Comments