TAARIFA MPYA KUHUSU MSEMAJI MKUU WA SERIKALI NA MKURUGENZI WA IDARA YA HABARI MAELEZO BW.HASSAN ABBAS | Masama Blog


TAARIFA MPYA KUHUSU MSEMAJI MKUU WA SERIKALI NA MKURUGENZI WA IDARA YA HABARI MAELEZO BW.HASSAN ABBAS

Image result for HASSAN ABBAS IMAGE TANZANIA
Dk.Hassan Abbas(Msemaji Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAaelezo.

Taarifa zilizotufikia ni kwamba 
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO),Sasa ni  Daktari wa falsafa baada ya jana kufanikiwa kutetea mbele ya jopo la madaktari na maprofesa zaidi ya 6 toka nchi mbalimbali,hivyo sasa ni Dr.Hassan Abbas, ,,na tunakupa hongera sana kwa kumaliza utafiti wako na kutunukiwa digrii ya UZAMIVU (PHD) kwa utafiti wa 

"New Media New Rules: The Impact of Internet Defamation and Press Freedom in Tanzania"

You have made it Brother, we wish you well in your new and improved stature. Na anatarajiwa kutunukiwa Rasmi PhD Yake mnamo tarehe 17/12/2016 Jijini Mwanza katika chuo kikuu cha mtakatifu Agustine (SAUT)

The doctorate level you attained will greatly impact upon the quality of services in the civil service and continue to usher in new insights, creativity and innovation in optimizing delivery at MAELEZO and the entire Government system.

Thank you for the addition to the existing media knowledge.
Mungu akubariki kwa kujibidisha kwa faida ya Taifa letu

Masama Blog Team

BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!


UNAIJUA BIASHARA YA FOREVER LIVING?....Kama una mtaji kuanzia 250,000 hadi 1,020,000 na unapenda kujikwamua na kubadilisha maisha yako kupitia biashara hii Tupigie simu nambari 0625539100 au 0625539200