STAA TAYLOR SWIFT NDIYE MSANII MWENYE PESA KWA MWAKA HUU 2016 | Masama Blog


STAA TAYLOR SWIFT NDIYE MSANII MWENYE PESA KWA MWAKA HUU 2016

taylor-swift-presenting-jpg
Kwa mujibu Forbes, Taylor Swift ndiye mwanamuziki aliyeingiza fedha nyingi zaidi mwaka huu. Amewapiga bao wanaume wote wanaofanya muziki duniani.
Katika kipindi cha June 1, 2015 hadi June 1, 2016 — Swift ameingiza takriban dola milioni 170. Fedha nyingine ilipatikana kutokana na ziara yake ya 1989 na matangazo mbalimbali.
Chini ni orodha nzima:
Taylor Swift – $170 million

One Direction – $110 million
Adele – $80.5 million
Madonna – $76.5 million
Rihanna – $75 million
Garth Brooks – $70 million
AC/DC – $67.5 million
Rolling Stones – $66.5 million
Calvin Harris – $63 million
Diddy – $62 million

BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!


UNAIJUA BIASHARA YA FOREVER LIVING?....Kama una mtaji kuanzia 250,000 hadi 1,020,000 na unapenda kujikwamua na kubadilisha maisha yako kupitia biashara hii Tupigie simu nambari 0625539100 au 0625539200