STAA JUSTINE BIEBER ASEMA HAYA BAADA YA KUJITOA INSTAGRAM | Masama Blog


STAA JUSTINE BIEBER ASEMA HAYA BAADA YA KUJITOA INSTAGRAM

Pop staa kutoka Canada Justin Bieber amekiri rasmi mbele ya mashabiki zake kuwa hana mpango wa kurudi tena kwenye mtandao waw kijamii wa Instagram na kwamba anaimani ni jambo la kishetani kutumia mtandao huo.

Justin kasema haya kwenye show yake Uingereza mjini London kuwa hana mpango wa kurudi IG na kwamba kaupotezea kabisa mtandao huo…

BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!


UNAIJUA BIASHARA YA FOREVER LIVING?....Kama una mtaji kuanzia 250,000 hadi 1,020,000 na unapenda kujikwamua na kubadilisha maisha yako kupitia biashara hii Tupigie simu nambari 0625539100 au 0625539200