Mgeni rasmi katika mahafali hayo alikuwa Naibu Gavana wa Benki kuu ya Tanzania Dk.Natu Mwamba hapa akisikiliza Risala toka kwa mkuu wa  mafunzo  alipokuwa akielezea kuhusu idadi ya wahitimu na changamoto zinazokabili Taasisis kwa sasa ikiwemo kuiomba Serikali kuendelea kusaidia kadri ya uwezo wake ili Taasisi hiyo iweze kufikia Malengo ya kutoa mafunzo ngazi ya Shada ya uzamili(Masters)

Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) Dk.Joseph Kihanda (katikati akiskiliza kwa makoni Brass Band ambapo yeye kama mkuu wa Taasisi ameelezea Mengi aliyoyafanya kwa Muda mfupi aliokaa katika Taasisis hiyo ikiwemo kutoa Fursa kwa wafanyakazi wengi zaidi kujiendeleza kimasomo hasa ngazi ya Masters na PHD Ambapo hadi sasa waalimu wapatao 12 wanasoma PHD katika hatua mbalimbali,Amejitahidi kuboresha Miundombinu ikiwemo Madarasa ya Kisasa na Ujenzi wa jengo jipya la Ghorofa 6 litakalokuwa na uwezo wa kuchukua wanafunzi zadi ya 3,000 kwa mara moja na mengine mengi.

Baadhi ya wafanyakazi wakiongozwa na Afisa Habari wa Taasisi  hiyo Bi.Lilia Rugaitika wakifuatilia kwa    umakini Tukio hilo

Waadhiri Mbalimbali Akiwemo Mr Msabi,Dk.Aniceth Mpanju ,Mr Justin ,Mr Marobe na Mr Bajjet nao wakiskiliza kwa umakini wakati mahafali yakiendelea

Image may contain: 3 people, people smiling, hat, close-up and outdoor
Mhitimu  wa  Shahada ya Ugavi na Manunuzi (BPLM ) Bi. Grace Nyamziga akifurahia kwa pamoja na wenzake wa Shahada ya Uhasibu (BAC) baada ya Kuhitimu

Wahitimu mbalimbali wakifuatilia kwa umakini

Wahitimu  wa  Shahada ya Ugavi na Manunuzi (BPLM )Bwana Hazrat Mandamo  akifurahia jambo na Bi. Rosalia Kisongo wakifurahia kwa pamoja baada ya Kuhitimu leoMhitimu  wa  Shahada ya Ugavi na Manunuzi (BPLM ) Bi. Radhia akifurahia kwa pamoja na wenzake wa Shahada ya Uhasibu (BAC) baada ya Kuhitimu leoANGALIA HII VIDEO WAKICHEZA MZIKI KWA PAMOJA KWA FURAHA,WIMBO WA DARASA UNAOITWA MUZIKI
BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!


Je wewe una mtaji wa Ths.250,000/= au 510,000 au 1,020,000?..na unahitaji kufanya biashara kubwa kwa mtaji huo ufanikiwe?..basi kama ndiyo njoo tukuonyesha njia ya kutekeleza malengo yako...piga 0625 539 100 
Top