Rapa Desiigner amefutiwa mashtaka ya kosa la kukamatwa na dawa za kulevya akiwa na mpango wa kuuza.
Desiigner alikamatwa mwezi wa tisa akiwa kwenye gari na marafiki zake ila baada ya uchunguzi iligundulika kuwa hapakuwa na dawa zozote hatari na Desiigner na marafiki zake hawakuwa na mpango wa kuuza.
Desiigner hakuwa mahakamani ila wakili wake alimwakilisha

TOA MAONI YAKO HAPA

 
Top