Ticker

10/recent/ticker-posts

MENINAH AMWANIKA DIAMOND TENA!! AFUNGUKA MENGI KUHUSU MAHUSIANO YAO,AELEZA JINSI WEMA ALIVYO MPA PRESHA

Kwa mara ya kwanza tangu wadaiwe kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Meninah a.k.a Meninah la diva na Nguli wa Bongo Fleva nchini Nasib Abdul 'Diamond' hatimaye ukweli umepatika baaada ya kuzinasa meseji za meninah alizofunguka kususu mahusiano yake na Diamond.Meseji hizo zimenaswa kutoka kwenye simu ya Meninah ambaye alikuwa akichati naye kuhusu mwenendo mzima wa Mahusiano yake na Diamond kupitia "Chating" hizo Meninah amekiri kwamba Diamond alimtaka kimapenzi na alifikia hatua ya kujitambulisha nyumbani kwao kwa nia ya kumuoa lakini alimtolea nje kwa sababu tayari alikuwa na mchumba mwingine na alishavishwa pete.Aidha, Meninah aliendelea kubainisha kwamba Diamond alianza kulifukuzi penzi lake toka 'Long time' toka alivyokuwa na mpenzi wake Nasri, Diamond aliendelea kupiga Nyayo Nyumbani kwao kila siku"Alikuwa akinisumbua toka niko na mpenzi wangu Nasri mpaka nimeachana naye mpaka leo ananitaka"Alifunguka Meninah katika moja ya meseji hizoaliendelea kufunguka na kusema kuwa Diamond alionyesha hisia zake kwa kupeleka taarifa kwenye moja ya magazeti ya udaku kwa minajili ya kumlegeza ili akubali kuwa mpenzi wake."Sasa yeye(Diamond) akadhani kwamba anitoe kwenye magazeti labda mimi nitaogopa then nitajikuta niko nae, mimi Diamond simtaki.....akaa...kwanza wa nini!"Hata hivyo Meninah aliitaja sababu nyingine ya kumpiga chini Diamond akisema kwanza tayari yuko na Wema na mimi Wema nam-respect halafu nimevishwa pete na mchumba wangu nimsaliti yanini ninayempenda.....akangeza na utani"Domo lake lile nitalipeleka wapi he is not even cute.......we can't match."Habari ndiyo iyo!!!"
Vijimambo