Mataifa ya wenzetu kuna mambo wanayafanya ambayo yanaweza kukuacha mdomo wazi siku mzima, kama hili la shindano la kumsaka mtu mwenye uume mdogo.
Ni shindano linalotarajiwa kufanyika kwa mara ya pili Juni 14 mwaka huu litakalofanyika huko Brooklyn's Kings County Bar(New York) ambako mshindi atazawadiwa kitita cha pesa na kutunukiwa heshimaKwa mara ya kwanza lilifanyika mwaka jana.

Pia hawa jamaa wanamsaka mwanadada Miley Cyrus ili awe mmoja wa waudhuliaji. Patakuaje sijui hapo!!!?

BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!


Je wewe una mtaji wa Ths.250,000/= au 510,000 au 1,020,000?..na unahitaji kufanya biashara kubwa kwa mtaji huo ufanikiwe?..basi kama ndiyo njoo tukuonyesha njia ya kutekeleza malengo yako...piga 0625 539 100

 
Top