Wema Sepetu Amehairisha Kuondoka Instagram Adai 'Toka Lini Mwenye Nyumba Akaacha Nyumba Yake'..SOMA ZAIDI HAPA | Masama Blog


Wema Sepetu Amehairisha Kuondoka Instagram Adai 'Toka Lini Mwenye Nyumba Akaacha Nyumba Yake'..SOMA ZAIDI HAPA

Wema Sepetu Haendi Mahali soma hapa akimwaga povuuuu!!!! Ameandika Haya Kwenye Ukurasa wake wa Instagram baada ya mwanzo kudai ameamua kupumzika Instagram:

Wemasepetu
Life has got to Go on.... Nimepitia makubwa zaidi and this is Not something to Bring Me Down kabisa... Siwezi Kalfisha nafsi yangu kwa watu wasio na worth kwangu... Yes U got me for a Minute But Hey I know how to Bounce Back... I aint goin no where... The Love I recieve from people around me is too strong.... Never will I shed another tear for stupidity... Kama maneno ni sumu basi nadhani ningekuwa nishakufa zamani... So talk the talk... And I'll walk the walk... #TokaLiniMwenyeNyumbaAkaachaNyumbaYake... 

BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!


UNAIJUA BIASHARA YA FOREVER LIVING?....Kama una mtaji kuanzia 250,000 hadi 1,020,000 na unapenda kujikwamua na kubadilisha maisha yako kupitia biashara hii Tupigie simu nambari 0625539100 au 0625539200