Wazo la biashara ya ice creamBiashara ya Ice Cream ni biashara nyingine nzuri zenye faida ukiwa na malengo makini katika sehemu za mijini.Kampuni kubwa kama azam na nyinginezo zilianza kidogo kidogo kwa kuuza ice cream na kukosa ushindani madhubuti kulifanya kujilimbikizia faida kubwa mno na hatimaye kuwa kampuni kubwa mno huku ikingiza bidhaa zingine sokoni zilizoonekana hazina ushindani mkubwa.Je wewe upo sehemu za mjini kama Said Salim Bakhresa alivyokuwa dar es salaam akaanza kuuza ice cream na kutokeza kampuni kubwa la Azam yenye utajiri zaidi ya Tirilion 2.4TSH(mwaka 2015).

Unachotakiwa kufanya ni kujifunza jinsi ya kutengeza ice cream kozi zinatolewa kwa miezi si zaidi ya miezi mitatu kwa kutumia mashine.Kujifunza kuchanganya sukari,  unga wa ice cream ni muhimu sana katika biashara hii.

Hata kama hauna mtaji mkubwa unaweza kusambaza ice cream zako kwa wateja mbalimbali kama mashuleni, vyuoni, maofisini na n.k.

Kujua Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Kwa Haraka: BONYZA HPA CHNI

Kujua Sehemu 10 Zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, BONYZA HAP 1UU
BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
© Copyright Masama Blog | Designed By MASAMA TEAM
Back To Top