Wazazi Wamshushia Binti yao Kipigo Mpaka Kumuua, Kisa Hiki hapa | Masama Blog


Wazazi Wamshushia Binti yao Kipigo Mpaka Kumuua, Kisa Hiki hapa

KENYA: Wazazi wawili wanashikiliwa na Polisi kwa kumpiga binti yao hadi kumuua wakidai alienda kwenye sherehe bila kuomba ruhusa.

Mdogo wake na marehemu amesema kuwa alikuwa akiumia pale alipowaona wazazi wakimpiga dada yake bila huruma huku akishindwa kumuokoa kutoka kwenye kipigo.

Mdogo wa Marehemu anasema dada yeke aliporudi aliogopa kurudi kwao akaenda kwa jirani ndipo wazazi wakaenda kumchukua na kuanza kumpiga.

BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!


UNAIJUA BIASHARA YA FOREVER LIVING?....Kama una mtaji kuanzia 250,000 hadi 1,020,000 na unapenda kujikwamua na kubadilisha maisha yako kupitia biashara hii Tupigie simu nambari 0625539100 au 0625539200