Watafiti waonya kuhusu saratani ya matiti isiyo na uvimbe..Angalia hapa Dalili zakeUvimbe wowote chini ya matiti ama maambukizi yoyote ya matiti hayanabudi kufanyiwa uchunguzi, wanasema watafiti

Karibu kisa kimoja kati ya sita vya saratani huanza na dalili nyingine tofauti na uvimbe, wataalam wanaonya.

Watafiti katika Chuo Kikuu cha London wanasema kuwa wanawake wanahitaji kuelewa dalili nyingine za saratani kama vile mabadiliko ya chuchu za matiti -ili waweze kupata msaada wa haraka.

Watafiti hao walichunguza dalili za wanawake 2,300 ambao hivi karibuni waligunduliwa kuwa na saratani.

Walibaini wanawake wasiokuwa na dalili za uvimbe walikuwa walikuwa na uwezekano mkubwa wakutotembelea madaktari wao kwa uchunguzi.

Watafiri wanawasilisha kazi yao ya uchunguzi katika mkutano wa Kituo cha Kitaifa cha Taasisi ya Saratani researchers are presenting their work at the National Cancer Research Institute mjini Liverpool.

Uvimbe wowote chini ya matiti ama maambukizi yoyote ya matiti hayanabudi kufanyiwa uchunguzi , walisema .
Hali kadhalika mabadiliko yoyote ya muonekano wa chuchu, kuvuja damu ama kutokwa na maji maji ya aina yoyote kwenye titi - na uvimbe wowote kwenye ngozi ya matiti.

DK. Karen Kennedy, Mkurugenzi wa Taasisi ya kitaifa ya Utafiti wa Saratani nchini Uingereza , anasema: "utafiti huu unaonyesha mara kwa mara wanawake huichelewa kwenda kumuona daktari wao kwa dalili za saratani.

" Hii inaweza kuwa ni kwasababu watu hawaelewi kuwa saratani ya matiti inaweza kujitokeza kwa njia nyingi tofauti , si tu kwa njia ya uvimbe.

" Kwa ugonjwa kama saratani ya matiti ni muhimu kubainika mapema ili mpango wa matibabu wa mapema uandaliwe na kuanza mara moja''

Kujua Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Kwa Haraka: BONYZA HPA CHNI

Kujua Sehemu 10 Zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, BONYZA HAP 1UU
BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
© Copyright Masama Blog | Designed By MASAMA TEAM
Back To Top