WANASAYANSI:KUJAMIANA NA ROBOTI KUTASABABISHA KUPUNGUA KWA TENDO HILO BAINA YA BINADAMU..SOMA ZAIDI HAPAKushiriki ngono na mashine au roboti kunaweza kufanya binadamu wapunguze kufanya tendo hilo wao kwa wao ifikapo mwaka 2050, wanasayansi wameonya.
Mtaalam mmoja wa roboti amedai kuwa mapenzi na roboti yanaweza kuwa na uraibu na siku za mbele zaidi kupoteza kabisa ushiriki wa tendo hilo baina ya binadamu kwa binadamu.
Kama teknolojia zingine ambazo zimechukua kazi za binadamu, roboti wanaweza kupita uwezo wa wanaume, na kuwa wapenzi bora.
Akizungumza na Daily Star, Joel Snell, mtaalam wa roboti kutoka chuo cha Kirkwood cha Iowa, alisema: ‘ Mapenzi na roboti yanaweza kutengeneza uraibu. Roboti wa ngono watakuwa wakiwepo daima na hawawezi kusema hapana.’
Pamoja na kupatikana muda wote kwaajili ya tendo hilo, roboti wanaweza kuwa wajuzi zaidi katika mapenzi kuliko binadamu.
Snell aliongeza: Kwa sababu watakuwa wametengeneza utaratibu mahsusi, roboti wa ngono watakidhi kila hitaji la mtumiaji.’

Bongo5


Kujua Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Kwa Haraka: BONYZA HPA CHNI

Kujua Sehemu 10 Zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, BONYZA HAP 1UU
BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!During its two year run, the project will award approximately 100 major reporting grants and provide mentoring to support the best ideas for stories on development issues. Journalists who produce the best stories published or broadcasted in media that reach African audiences, will win a major international reporting trip.
© Copyright Masama Blog | Designed By MASAMA TEAM
Back To Top