VIDEO:Shuhudia hapa Mwenyekiti wa mtaa Buguruni alivyoibuka mkutanoni Dar MPYA kujibu tuhuma Mbele ya RC Makonda | Masama Blog


VIDEO:Shuhudia hapa Mwenyekiti wa mtaa Buguruni alivyoibuka mkutanoni Dar MPYA kujibu tuhuma Mbele ya RC Makonda

Siku ya tisa ya ziara ya Dar MPYA kwenye mkutano eneo la Buguruni Mivinjeni  mama mmoja alitoa tuhuma kwa Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda dhidi ya mwenyekiti wa Mtaa wa Buguruni  Mivinjeni, Barua Mwakilanga akidai kuwa mwenyekiti huyo ametaka kumuondoa kwenye eneo lake la biashara na kutaka kujenga kituo cha polisi.

Baada ya kuwa na mvutano huo, mama huyo amedai kuwa Mwenyekiti huyo alimtaka kimapenzi kwa kumwambia waonane nje ya ofisi wikiendi. Mwenyekiti huyo alizisikia tuhuma hizo kupitia Clouds TV akakimbilia mkutanoni kujibu tuhuma. Unaweza kuangalia video hii hapa chini. 

BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!


UNAIJUA BIASHARA YA FOREVER LIVING?....Kama una mtaji kuanzia 250,000 hadi 1,020,000 na unapenda kujikwamua na kubadilisha maisha yako kupitia biashara hii Tupigie simu nambari 0625539100 au 0625539200