VIDEO:Msikie Rais Magufuli akieleza sababu ya kuvunja Bodi ya Mamlaka ya Mapato TRA | Masama Blog

VIDEO:Msikie Rais Magufuli akieleza sababu ya kuvunja Bodi ya Mamlaka ya Mapato TRA

RAIS John Magufuli amefichua siri ya hatua yake ya kuitumbua Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).

Amesema alilazimika kuchukua hatua hiyo baada ya bodi hiyo kuidhinisha Sh bilioni 26 kupelekwa kuwekwa kwenye akaunti maalumu( Fixed Account)  katika benki kadhaa za biashara.

==> Msikilize hapo chini


Back To Top