Vanessa Mdee Kuja na Reality Show yake Kupitia You tube | Masama Blog


Vanessa Mdee Kuja na Reality Show yake Kupitia You tube


Show hiyo itakuwa ya dakika moja tu na itatoka kila wiki kupitia channel yake ya Youtube. Ametoa taarifa hiyo wakati akizungumza kwenye uzinduzi wa tuzo za Youtube kwa nchi zilizopo chini ya jangwa la Sahara.
Kwa muda sasa Vee amekuwa akizungumzia ujio wa album hiyo itakayoshirikisha mastaa wa ndani na nje ya Afrika.
Katika kutengeneza muitikio mzuri zaidi wa album yake ya kwanza na inayosubiriwa kwa hamu, Money Mondays, Vanessa Mdee amepanga kuja na reality show.


BOFYA LIKE KUUNGANA NASI FACEBOOK!


UNAIJUA BIASHARA YA FOREVER LIVING?....Kama una mtaji kuanzia 250,000 hadi 1,020,000 na unapenda kujikwamua na kubadilisha maisha yako kupitia biashara hii Tupigie simu nambari 0625539100 au 0625539200