Diamond Platnumz na Alikiba ni wasanii wakali na wakubwa Tanzania na hata Afrika kwa ujumla hilo linajulikana au vipi eeh!?

Na kwakuwa wote wanafanya muziki mzuri, ni pendekezo la kila mmoja mpenzi wa muziki mzuri kutaka kuona collabo ya pamoja ya wawili hawa, kutokana na ushindani ambao wanao katika kazi yao ya muziki na hata katika hali ya kutengeneza muziki mzuri ili kuipeleka Bongo F

TOA MAONI YAKO HAPA

 
Top